Help in Bachelor of science in environ mental engeneering at ardhi university! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help in Bachelor of science in environ mental engeneering at ardhi university!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mujoma2011, Sep 10, 2011.

 1. m

  mujoma2011 Member

  #1
  Sep 10, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna dogo hapa kachaguliwa to parsue BACHELOR OF SCIENCE IN ENVIRONMENTAL ENGENEERING at ARDHI UNIVERSITY.
  So shida yangu,nataka kujua 1. hii coz inahusika na nini hasa ,2.mtu aliye graduate coz hii anafanya kazi zipi,3.ina position gani katika soko la ajira tanzania,4.wat about ts salary ranks,5.fuculty requirement zake if any.
  And finaly vipi kuhusu chuo cha ardhi na ubora wa degree hii and maelezo yoyote concerning this coz.
  Naomba kuwasilisha
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ye akasome 2,hayo mambo mengne atayajulia mbele ya safari.
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Sep 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Mkuu Environmental Engeneering inahusiana na mambo ya innovation na maintainance ya mazingira... (toka maji, ardhi, hewa) Hivo kuhusisha saana kama jinsi ya kuhakikisha mazingira yapo katika hali nzuri - na hii ndo Institutions kama makampuni lazima wahusishe watu wa sector hii... Mfano Mzuri ni Barrick Gold mines... pale kable tu ya kuanzisha Mgodi hawa watu ni lazima walipita pale... na pia huendelea kupita.... hasa hata makampuni ambayo hutoa saana waste disposalsl...

  Hio course itakua sio chini ya miaka minne but yaweza kua hata five - Chuo cha Ardhi kwa hio course ni wazuri (IMO) na ni moja ya courses ambayo anaenda kusoma ajitahidi na ahakikishe kua ana GPA nzuri akimaliza... ataenda places... for hio ni moja ya areas imekua/inakua saana hopefully.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  tahadhari ndugu:most of the times kufanikiwa kwa mtu inategemea anajituma kiasi gani,attitude, kuwa sharp and creative na mengineyo.kuna watu ni madr wanatembea na mashati yameisha kola.kuna watu wamesoma political science and something,ila wanakula bata,wanaheshimika kwenye ulimwengu wa science etc.huwa namuwaza isaac newton,angekuwa mie nimelala kwa uvivu chini ya mti apple likanipiga,ningeona uvivu kula,ningefutika mfukoni nikiamka nilifanyizie.ila mwenzetu aliwaza mengi ya kutusaidia!
  kila la kheri,niseme ni kozi nzuri sana.market haiko flooded na akijituma na kutokuzubaa,atafanikiwa sana.kuna issue za environmental audit na env impact assessment pia
   
 5. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  courz nzur mkuu
   
 6. m

  mujoma2011 Member

  #6
  Sep 10, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  HONESTLY I RILY APPRICEIT UR HELP.UR DETAILS R SO HELPFULL,BT THERE IS 1 THING I HAVE TO ASK,WHAT ABOUT FUCULTY REQUIREMENT
   
 7. m

  mujoma2011 Member

  #7
  Sep 10, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What about fuculty requirement ya iyo coz?
  And is there anybody humu anasoma iyo fuculty hapo ardhi university aonge kidogo hapa and kama vipi ani PM!
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Sep 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Sielewi requirements zao... But hata hivo hizo requirements inatakiwa mhusika afike chuo ndo anunue... na pia usitake Kujua Faculty requirements for iko wide... saizi imebadilishwa hivo inatakiwa uulizie College requirements.... Hivo hapo do not know the answer as in what is required..
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Sep 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red funga kazi ...
  I mean kwa kitu chochote maishani..
  santee
   
Loading...