Elimu Kwa watoto yatima


E

Emiabu

Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
10
Likes
0
Points
0
Age
29
E

Emiabu

Member
Joined Sep 8, 2011
10 0 0
Hivi karibuni nimepata taarifa kutoka kituo kimoja cha watoto yatima Magu. Wamekuwa wakiwapeleka watoto wao kusoma Uingereza kwa miaka mitatu sasa, lakini ili waweze kwenda UK wanahitaji barua kutoka ustawi wa jamii. Kwa miaka mitatu ustawi wa jamii wamekuwa wakitoa kibari hicho, lakini cha kushangaza mwaka huu, kituo hicho kilihitaji mabinti watatu kwenda kusoma huko ulaya, cha kushangaza ustawi wa jamii wamepinga wazo hilo na kudia kwamba watoto hao hawapaswi kwenda ulaya, wanatakiwa kusoma Tanzania. Kusema ukwweli kitu hiki kimeniuzi sana, iweje wawakataze hawa watoto kwenda kusoma Ulaya wakati shule wanazosoma hapa hazina walimu wazuri na matokeo yake si mazuri? Wanachokidai ustawi wa jamii ni kwamba watoto hawa wanahitaki secondary education na hivyo kuweka kipinganizi, je hii ni haki kweli/ Nafasi ya kusome huko imetolewa sasa, na secondary education ipo tu kwani siku hizi wato wanasoma seconadry education hata kama wako kazini.
Na hata hivyo sio kwamba watoto hawa wanapokwenda Uk, hawapati Elimu bora, wanapatiwa Elimu ya secondary na wakati huohuo wanaattend college.


Jamani nahitaji Ushauri, Je ingekuwa ni mtoto wako amepata hii ni nafasi kusoma Uingereza, utafanya nini?
 

Forum statistics

Threads 1,237,085
Members 475,401
Posts 29,277,744