Mwanafunzi ashindwa kufanya mtihani kwa kupewa mimba na mwalimu mkuu

JENSENE

Member
Mar 7, 2011
52
6
Imeripotiwa kuwa mwanafunzi wa kike kutoka shule ya KIBAKWE wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma ameshindwa kufanya mtihani wa VII. Hii ni kutokana na kupewa ujauzito na mwalimu wake mkuu. Mara baada ya kuulizwa ndipo mwanafunzi huyo akamtaja mwalimu wake. Habari zinasema mwalimu huyu yuko mikononi mwa vyombo vya sheria. Tunahitaji hatua ya kindhamu katika utumishi zichukuliwe.
 
Imeripotiwa kuwa mwanafunzi wa kike kutoka shule ya KIBAKWE wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma ameshindwa kufanya mtihani wa VII. Hii ni kutokana na kupewa ujauzito na mwalimu wake mkuu. Habari zinasema mwalimu huyu yuko mikononi mwa vyombo vya sheria. Tunahitaji hatua ya kindhamu katika utumishi zichukuliwe.

Kuna umuhimu wa kutoa kifungo cha maisha kwa mabazazi kama hawa.
 
jaamani..! kaaa! arabuni utanyongwa! hiv 2seme ukweli kuna nini ck hizi? au ndo m2 kukaa bila kazi yakufanya kwa maana kuna kamsemo kanasema hivi : "AN IDLE MIND IS THE DEVIL WORKSHOP"
 
Huyu mwalimu angetakiwa amfanye huyo mwanafunzi mkewe,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, Apende Asipende! Huyu huyu ni JANGA kwa taifa le2!
 
Serikali Jamani inabidi iwe macho katika maswala kama haya, kwani watu kama hawa wanaleta aibu katika jamii yetu na kuharibu maisha ya watoto. Huyu mwalimu anatakiwa apewe fundisho kali kwani ameharibu ndoto za huyu binti. Na wasichana kuweni makini na hawa kinafataki.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom