Tanzania kushirikiana na cuba katika elimu

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Messages
3,304
Points
1,225

mdeki

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2011
3,304 1,225
serikali ya Tz imeridhia kushirikiana na cuba ktk elimu ya watu wazima.

source: chanel ten
 

Gajungi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
209
Points
195

Gajungi

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
209 195
Huu ni ujinga mkubwa sana .Pamoja na kuwepo vijana wa kitanzania wasio na ajira wenye uwezo wa kufundisha elimu ya watu wazima leo unaambiwa mkataba unasainiwa ili WaCUBA waje Tz kufundisha .Kwanza hawa watu hawajui Kiswahili wala kiingereza sijui itakuwaje.Uchizi usio na kipimo kwa nchi yetu. Inasemekana hbuu mkataba ulisainiwa tayari.Wizi mtupu.
 

Forum statistics

Threads 1,391,126
Members 528,370
Posts 34,074,255
Top