Heslb wasalimu amri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heslb wasalimu amri

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by General mex, Sep 5, 2011.

1. General mex

General mex Senior Member

#1
Sep 5, 2011
Joined: May 1, 2011
Messages: 118
Likes Received: 51
Trophy Points: 45
Wadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna matatizo mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa mikopo. Ila kilichoamuliwa ni kwamba, wata review yale majina ya wote waliokosa mikopo ambao walikua na vigezo wapate mikopo. Ila walichoongelea sana ni kwamba watatoa taarifa kwa kila aliekosa mkopo ili ajue ni kwa nini amekosa. Kwa hyo wataongezea pale kwenye matokeo ya chuo maelezo kuonesha sababu. Baada ya hapo xaxa 2tajua cha kufanya kwa maana wamedai kuna watu form zao hazikufika ilhali kumbe wana hadi risiti za Ems! Ila suala la kwamba, mikopo itatolewa tena ama la? Wamedai ni mpaka waziri atoe tamko. Watafanya mkutano hivi karibuni. Lets hope that they will not cheat us. Amen. Nawasilisha kwenu wana jf..

2. K

Kauzu B Member

#2
Sep 5, 2011
Joined: Aug 26, 2011
Messages: 15
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Safi xana kaka kwa kutuwakilisha endelea kuorganize people waliokaribu na bodi kudai haki yetu ya msingi.natamani xana kuungana nawe ila niko border.

3. Perry

Perry JF-Expert Member

#3
Sep 5, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
Huo usanii mnafanyiwa madogo...wanataka wawaandkie 7bu za kukosa mkopo,mbona me kwa mdogo wangu mwenye dv 2.10,wamemuandkia eti coz yake ni non priority au wanataka kuandka nin tena,kudadeki ngoja 2rudi vyuon,lazima 2lianzishe yani.hii nchi ni ya wote co wachache 2.

4. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#4
Sep 5, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
dah kwa leo ilitakiwa mchome hata ofisi mojawapo tupale hslb...............huh

5. S

SURN JF-Expert Member

#5
Sep 5, 2011
Joined: Sep 5, 2011
Messages: 313
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
nimechanganyikiwa sana.nimefaulu hafu nakosa kwenda chuo et coz ya MKOPO?Huu ni upumbavu sana hiv TZ 2taendelea lini?safi sana KAKA huo ndo MPANGO MZIMA 2kinyamaza nao wanaweza KUNYAMAZA so Hapo ni KUKAZA but Mwanzo mwisho.mpaka wa2pe MKOPO

6. Gajungi

Gajungi Senior Member

#6
Sep 5, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 195
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
Safi mkuu Tanzania itajengwa na Watanzania wenye moyo.

7. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#7
Sep 5, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,966
Trophy Points: 280

hapa wanajenga wanabomoa?

8. It is Sur_Plus

It is Sur_Plus Senior Member

#8
Sep 5, 2011
Joined: Sep 28, 2010
Messages: 169
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
gud nyuuuuuuuuuuuuuuuuuz.....................................

9. S

SURN JF-Expert Member

#9
Sep 5, 2011
Joined: Sep 5, 2011
Messages: 313
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
lakn watafanya kweli?maana tz inaleta siasa hata kwenye elimu

10. Gajungi

Gajungi Senior Member

#10
Sep 5, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 195
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
wabomoaji ni viongozo wanaojenga ni hawa wanaofuatilia haki zao.

11. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#11
Sep 6, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,375
Likes Received: 19,635
Trophy Points: 280
wanajenga..mtu anataka usoma anajenga au anabomoa?

12. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#12
Sep 6, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,966
Trophy Points: 280

nani kamkataza kwenda kusoma. Bodi imeshasema haina hela wanahangaika.

13. S

SURN JF-Expert Member

#13
Sep 6, 2011
Joined: Sep 5, 2011
Messages: 313
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
kweli msafara wa mamba na kenge wamo

14. m

mzee wa njaa JF-Expert Member

#14
Sep 6, 2011
Joined: Jun 16, 2011
Messages: 1,368
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Bodi wanalipana mishahara mikubwa na wapo pale si kwa ajili ya wanafunzi bali kwa maslahi yao binafsi.

15. General mex

General mex Senior Member

#15
Sep 6, 2011
Joined: May 1, 2011
Messages: 118
Likes Received: 51
Trophy Points: 45
Sababu walizotoa ni kwamba, eti kuna watu form zao hazikufika kwa hyo ikaonekana hawakuomba mkopo. Wengine wanadai eti walifoji namba za vocha ile ya kulipia m pesa. Kwa hiyo kama m2 akiambiwa sababu hyo na ana ushahidi atakataa na kuwaonesha vielelezo. Ila bado ni kuzidi kushinikiza ili kweli wajue watu wanahitaji mikopo.

16. JMC prod

JMC prod Member

#16
Sep 6, 2011
Joined: Aug 4, 2011
Messages: 90
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
Wazaz nauliza tena ile 7500 imejumlishwa kwenye ela waloandika. Yani 1.8mil kwa mwaka.

17. B

Bajabiri JF-Expert Member

#17
Sep 6, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Usanii ni kweli nakiri!!!!

18. u

utantambua JF-Expert Member

#18
Sep 6, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1,373
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Nakutakieni kila lakheri mpate mikopo muendelee na masomo yenu.

Lakini kitu kimoja mkuu jitahidi kuacha kutumia lugha ya namna hiyo (xaxa,2tajua etc.). Mazoea yana taabu usipoacha sasa utajikuta hadi katika maandiko muhimu (mfano mitihani yako chuoni) unaendelea kutumia uandishi huo. Kwa uzoefu wangu wa usahihishaji mitihani nimeliona hili mara nyingi sana. Jaribu kubadilika umekua sasa mambo ya sekondari yabaki sekondari.

19. Paw

Paw Content Manager Staff Member

#19
Sep 6, 2011
Joined: Nov 14, 2010
Messages: 2,032
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
My wishes for you all to be supported by this HESLB; my advice to you please avoid sms language because of its replications pursuant your further education. May be privately but not in publicly uses.

20. Eshacky

Eshacky JF-Expert Member

#20
Sep 6, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 966
Likes Received: 33
Trophy Points: 45

mzaz imejumuishwa kwny hyo 3mill.

Loading...