Heslb div 3.14 mpaka 3.16 kupewa mkopo ndo sera yenu.

SOKON 1

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,123
1,225
Toka TCU watoe majina nakusikia wanafunzi wakilalama ikanibidi nifanye utafiti kuna wanafunzi wengi wenye div 3 ambao kwa miaka ya nyuma ila wapate mkopo inabidi wachague UALIMU AMA KWENDA KUSOMEA SAYANSI ila sera ya mwaka huu ni kinyume kabisa kwani wenye haki ya kupata mkopo wamekosa ila wasio na vigezo vya kupata mkopo wamepata wengi wao hao wamechaguliwa vyuo vya private sababu kwa point izo ni vigumu kupata UDSM,MZUMBE, UDOM, nk swali kwa HESLB ushaidi tunao ukitaka tunaweka majina ya hao wanafunzi na point zao waliopata form 6 na vyuo walivyochaguliwa je kwa staili hii tunakuza Elimu ama tunadumisha vilaza Tanzania?
My Take:
Kwa wanafunzi wenye div 2 na 1 daini haki yenu tena ikibidi nendeni na hao waliopewa mikopo fika wakitambua hawana vigezo kwani natumaini mnawajua.

Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,964

Wenye div.3 wengi wao watoto wa wawapiga kura ambao wengi wao wamesoma shule za kata kuwanyima mikopo sio haki kwa kweli

Vin Diesel

Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,068
2,000

Mkuu pole kwa kukosa mkopo.
Nakushauri uende bodi kufuatilia zaidi.

MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,278
2,000
thats not fair, goverment sponsorship is kind of motivation for better performance in high school, so rewarding someone with lowest cuts of
through giving him loan benefits while someone with first division gets nothing is not fair.... enzi zetu ukipangwa udsm or mzumbe loan inakuja
moja kwa moja bila utata, na hiyo ilitupa motivation ya kukaza sana sekondari na kweli tulifanikiwa kufanya vizuri... mimi sijaipenda hii but ndo
Danganyika country hii

SOKON 1

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,123
1,225
Wenye div.3 wengi wao watoto wa wawapiga kura ambao wengi wao wamesoma shule za kata kuwanyima mikopo sio haki kwa kweli

Ni sawa ila fika tambua kabla ya kutoa majina mwaka huu mwenye div 3 ili apate mkopo alikuwa anajua achague kozi gani ila wengine walikuwa hawataki ualimu so mkopo wakaachana nao ila cha kushanganza amejikuta kapewa mkopo mfano kuna dogo amechaguliwa chuo anakwenda kusomea Account ana dv 3.15 yeye alikuwa amesahau mkopo ila amekuta kapewa mkopo 90% je na huyo utasemaje?

SOKON 1

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,123
1,225
thats not fair, goverment sponsorship is kind of motivation for better performance in high school, so rewarding someone with lowest cuts of

through giving him loan benefits while someone with first division gets nothing is not fair.... enzi zetu ukipangwa udsm or mzumbe loan inakuja

moja kwa moja bila utata, na hiyo ilitupa motivation ya kukaza sana sekondari na kweli tulifanikiwa kufanya vizuri... mimi sijaipenda hii but ndo

Danganyika country hii

Kweli umenena kwani kuna form 6 wanamaliza mwakani kama ameona maelfu waliofanya vizuri ktk mitihani yao hawajapata mkopo kifikra hatawaathiri ata ktk maendeleo yao darasani kwani ile kauli mbiu ya Div 1 na 2 itakufa na kusababisha elimu kushuka.

SOKON 1

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,123
1,225
Mkuu pole kwa kukosa mkopo.

Nakushauri uende bodi kufuatilia zaidi.

Mi siko iko ila ni mtazamo wangu kwani dah kuna dogo aligoma kula siku zima baada ya wazazi wake kumwambia hawana uwezo wa kumsomesha so itabidi hasahau chuo maishani mwake na yeye ana div 2.10 ila amekosa mkopo amechaguliwa UDSM. So ilinipain sana kwani dogo alikuwa anama2maini 100% anapata mkopo na hakuwa na wasiwasi ila furaha yake ndoto yake ya elimu ya juu UDSM imetimia ila sasa imekuwa kilio na mawazo mda wote akiomba serikali japo iwafikirie upya.

Msarendo

Msarendo

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
9,568
2,000
Poleni sana vijana!

Eshacky

Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
965
225
Yaan km mzumbe weng wamekula za mbavu, njoo ifm sasa m2 ana div 3 ya 16 kala milion kibao. Aya bwana wao ndo wenye "nji" wameshasoma wameamua kutubumisha sis viele ele tuliokuwa tuna kesha na kusoma mituition, mara mwenge mara msimbaz mara pugu practical, mara kwa mkumba, mara kwa ostadh. Thnx jk

Kamakabuzi

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
1,615
1,250
Great thinkers, let us think as great thinkers.
Miaka kadhaa iliyopita sera ya mikopo ilikuwa kwamba mwanafunzi atakayefaulu vizuri masomo ya sayansi atapewa mkopo 100% Hii ilitokana na ukweli kuwa taifa lilianza kukosa wataalamu wa sayansi na watoto walipoteza moyo wa kusoma masomo hayo.
Ni ukweli usiopingika kuwa shule nyingi za kata hazina walimu wa kutosha na hasa wa masomo ya hisabati na sayansi. Mbali ya kukosa walimu pia vifaa na vitabu vya sayansi hawana.
Kutokana na hayo basi, wanafunzi wengi waliofaulu sayansi na hisabati watakuwa wanatokea katika shule za binafsi.
Wazazi wengi walijinyima kuwasomesha shule za binafsi. Nawafahamu waliouza nyumba na mashamba; wakabakiza kidogo tu kwa ajili ya kujikimu wakijua kuwa mtoto akimaliza kidato cha sita tu na kufaulu, then anapata mkopo na kuendelea.
Leo hii ghafla sera imebadilika na kuwanyima mikopo waliofaulu sayansi. Je ule upungufu wa wataalamu umekwisha?
Ikumbukwe pia kuwa vyuo vinavyosomesha wataalamu wa kisayansi vina ghrama kubwa. Ebu fikiria wanaosomea udaktari au masomo yanayohusiana na hayo, gharama zikoje ukilinganisha na wanaosomea arts. Halafu fani kama hizi ndizo hazipewi mishahara mizuri.
Wakati fulani niliwaambia wanafunzi wasomee uhasibu kijana mmoja akauliza, hivi mhasibu na mkurugenzi nani ana mshahara na marupurupu zaidi ya mwenzake? Nikamjibu kuwa ni mkurugenzi. Akaniuliza tena, sasa kuna sababu gani kujiumiza kwenye mahesabu halafu nije kupata maslahi duni?
Alizidi kunitolea mifano ya madkatari wanaokimbilia kwenye ubunge.
Leo hii hata mikopo ambayo ilikuwa ni kivutio kilichobaki, mnaiondoa?
Back-crash ya suala hili inaweza kuanza kuonekana as early as next year.
Kumbe ni afadhali mwanafunzi akasoma arts ambayo inapatikana kwa gharama nafuu katika shule za kata, na akapata mkopo (hata kama hatapata mkopo, bado gharama ni nafuu kuliko wa sayansi)
Mbali na hilo, wako wanafunzi waliosoma shule za serikali tangu primary, wamechaguliwa kusomea mambo ya uganga na hakupata mikopo!
Hakika kuna matatizo katika mfumo mzima wa elimu - hakuna consistency, Hali hi inaonekana hata kwenye mitaala. Utaona mitaala inabadilishwa mara kwa mara na kutungiwa mitihani immediately!

Kamakabuzi

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
1,615
1,250

Mi siko iko ila ni mtazamo wangu kwani dah kuna dogo aligoma kula siku zima baada ya wazazi wake kumwambia hawana uwezo wa kumsomesha so itabidi hasahau chuo maishani mwake na yeye ana div 2.10 ila amekosa mkopo amechaguliwa UDSM. So ilinipain sana kwani dogo alikuwa anama2maini 100% anapata mkopo na hakuwa na wasiwasi ila furaha yake ndoto yake ya elimu ya juu UDSM imetimia ila sasa imekuwa kilio na mawazo mda wote akiomba serikali japo iwafikirie upya.
Ni kweli, dogo katimiza wajibu wake kama mwanafunzi, ni jukumu la serikali kutimiza wajibu wake wa kumpatia mkopo. Serikali haipaswi kuamka ghafla leo na kuwanyima mkopo akina dogo kwani walisoma wakijua kuwa wakiachieve points hizo then mkopo ni lazima. Kama serikali inabadili utaratibu wa mikopo then mabadiliko yakitangazwa leo yaanza kutumika after 6 years. Yaani mwanafunzi aingie kidato cha kwanza akijua kuwa hata kama nitafaulu sayansi, hakuna mkopo

Kamakabuzi

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
1,615
1,250
Yaan km mzumbe weng wamekula za mbavu, njoo ifm sasa m2 ana div 3 ya 16 kala milion kibao. Aya bwana wao ndo wenye "nji" wameshasoma wameamua kutubumisha sis viele ele tuliokuwa tuna kesha na kusoma mituition, mara mwenge mara msimbaz mara pugu practical, mara kwa mkumba, mara kwa ostadh. Thnx jk
Kweli inaumiza sana. Nimemshinikiza binti yangu asome sayansi, yuko form three sasa, leo asubuhi nilifikiria kumwambia aachane na sayansi nikasita kidogo. Laiti angekuwa form one, ningemwambia achana na sayansi kwani ni mgumu, ina mshahara mdogo na haina mikopo.

M

Mzee Kombo

Senior Member
Jun 23, 2011
150
225
Toka TCU watoe majina nakusikia wanafunzi wakilalama ikanibidi nifanye utafiti kuna wanafunzi wengi wenye div 3 ambao kwa miaka ya nyuma ila wapate mkopo inabidi wachague UALIMU AMA KWENDA KUSOMEA SAYANSI ila sera ya mwaka huu ni kinyume kabisa kwani wenye haki ya kupata mkopo wamekosa ila wasio na vigezo vya kupata mkopo wamepata wengi wao hao wamechaguliwa vyuo vya private sababu kwa point izo ni vigumu kupata UDSM,MZUMBE, UDOM, nk swali kwa HESLB ushaidi tunao ukitaka tunaweka majina ya hao wanafunzi na point zao waliopata form 6 na vyuo walivyochaguliwa je kwa staili hii tunakuza Elimu ama tunadumisha vilaza Tanzania?

My Take:

Kwa wanafunzi wenye div 2 na 1 daini haki yenu tena ikibidi nendeni na hao waliopewa mikopo fika wakitambua hawana vigezo kwani natumaini mnawajua.

umeliangalia hili kwa mtazamo finyu sana!

tcoal9

tcoal9

JF-Expert Member
Apr 5, 2009
252
0
Wahusika bodi ya mkopo leo asubuhi walikuwa live channel ten. Moja ya point waliyo zungumza ni kwamba. Kwa sasa tofauti na miaka ya nyuma; 1. wanafunzi wote walio pata vyuo wana haki sawa ya kupata mkopo. 2. Mikopo kwa sasa itatolewa kufuata mahitaji ya chuo na sio kwa % kama ilivyo kuwa awali. 3. Bajeti iliyotolewa na serikali Bilion 300 haikidhi mahitaji ya wanafunzi wote hivyo 4.Wawetoa mkopo kwa kuanza na vitivo vya kipaumbele,kisha kwa vitivo vingine Mpaka pale bajeti ilipokomea. 5. Wametoa wito kwa ambao hawajapata mkopo waweze ku-appeal, ili kujaribu bahati yao.

Mytake:
KIWANGO CHA FEDHA KINACHOTENGWA NA SERIKALI KWA AJILI YA BODI YA MIKOPO YAPASWA KIONGEZEKE ILI KUKIDHI WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO.

Biohazard

Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,024
1,500
kama wenye vigezo wamekosa mkopo sio haki hata kidogo

SOKON 1

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,123
1,225

umeliangalia hili kwa mtazamo finyu sana!

Ndugu yangu plz wewe una div 1 ama 2 mwenzako ana div 3.16 kapewa mkopo je kwa mtazamo waliokuwa wamejitahiti kwa moyo wao wote hana mkopo je ni haki ama kwa mtazamo wa kizazi kijacho kwa kuwa na hizi data je unategemea nini kwa O level na A level mwenye matokeo mabaya kapata mkopo mwenye matokeo mazuri amekosa? Kama unavyoelewa elimu ya Tanzania. Ni mda wa kusimamia serikali na kutounga mkono sera zao mbovu kwa taifa.

SOKON 1

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,123
1,225
Wahusika bodi ya mkopo leo asubuhi walikuwa live channel ten. Moja ya point waliyo zungumza ni kwamba. Kwa sasa tofauti na miaka ya nyuma; 1. wanafunzi wote walio pata vyuo wana haki sawa ya kupata mkopo. 2. Mikopo kwa sasa itatolewa kufuata mahitaji ya chuo na sio kwa % kama ilivyo kuwa awali. 3. Bajeti iliyotolewa na serikali Bilion 300 haikidhi mahitaji ya wanafunzi wote hivyo 4.Wawetoa mkopo kwa kuanza na vitivo vya kipaumbele,kisha kwa vitivo vingine Mpaka pale bajeti ilipokomea. 5. Wametoa wito kwa ambao hawajapata mkopo waweze ku-appeal, ili kujaribu bahati yao.

Mytake:

KIWANGO CHA FEDHA KINACHOTENGWA NA SERIKALI KWA AJILI YA BODI YA MIKOPO YAPASWA KIONGEZEKE ILI KUKIDHI WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO.

Kwenye hicho kigezo namba 1. Wanafunzi wote wanahaki ya kupata mkopo endapo wamechaguliwa chuo.
Hiki kigezo siyo kweli nakumbuka nikiwa first yr siku ya kwanza chuo wale wote wenye div 3 ambao wamechagua kozi tofauti na ualimu na sayansi waliambiwa hakuna mkopo ila wametimiza vigezo vya chuo kuwa ndani ya cut off point haswa div 3.13 ndo walikuwepo na wa2 waliridhia wakajisomesha mpaka mwisho iweje leo kutoka pasipo kujulikana bila hata wahusika wakiwa shule watambue mafanikio yako ktk A level kufika elimu ya juu unatakiwa una na habari hizi ila watu wamemaliza wana2mia informations ambazo zilikuwa zinajulikana ila leo unapewa jipya ni haki? Kwanza hicho walichosema leo asubuhi hakiingii akilini hizo sababu zao wazitumie mwakani.

Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
15,513
2,000
Hili suala lisiachwe lipite,.hv hakuna wa kuipa govt masaa ili walekebshe? Au 2mtmie yule wa mafuta (engen) atoe ultmatum kwa bodi ili warekebishe mana mafta c walpandsha bei? .chadema hasa bavicha ndo pakujinyakulia ujiko hata magamba madogo,hv hata continous bum wamezngua?

tindikalikali

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,868
1,195

Mi siko iko ila ni mtazamo wangu kwani dah kuna dogo aligoma kula siku zima baada ya wazazi wake kumwambia hawana uwezo wa kumsomesha so itabidi hasahau chuo maishani mwake na yeye ana div 2.10 ila amekosa mkopo amechaguliwa UDSM. So ilinipain sana kwani dogo alikuwa anama2maini 100% anapata mkopo na hakuwa na wasiwasi ila furaha yake ndoto yake ya elimu ya juu UDSM imetimia ila sasa imekuwa kilio na mawazo mda wote akiomba serikali japo iwafikirie upya.
kapata UDSM alafu kakosa mkopo? Ya mwaka huu kali

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom