Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Katika mtihani wa kidato cha nne 2010 somo la geography kulikuwa na swali kwenye topic ya research lisemalo-What Problems faced in hypothesis formulation?naomba msaada wenu wadau!!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wasalam wana jamvini, natumai mko bukheri wa afya. Mdogo wenu nimefanikiwa kupata nafasi kusomea degree ya population and devolopment planning, (2011). Kwa wale ambao wameshasoma au kukifahamu...
1 Reactions
48 Replies
13K Views
ubora wa taaluma inayotolewa na open university na vyuo vikuu vingine kama UDSM ,UDOM n.k unafanana ?
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu naomba msaada kwa anayejua majina ya walioomba postgraduate diploma chuo cha ustawi wa jamii yatatoka lini. Nimejaribu kutembelea website yao ili angalau nipate namba ya simu lakini naona...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
ndugu zangu kama kuna mtu anaweza kusaidia walimu wa sec kupata barua za ajira wilayani temeke namuomba asaidie kwani tsd temeke hawafanyi kazi..hasa yule katibu wake bi SUBIRA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"Customer service strategy,customer service policy,marketing plan and budget,sponsorship policy or strategy,expansion strategy" Plz my need is just some definitions of those listed words...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale waliokosa mikopo wanaweza kutizama sababu zilizo waponza kupitia website ya bodi.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna Phd Holder Mmoja, Kuna wenye MSc. watatu na wawili wapo study leave. waliobakia ni BSc. sasa najiuliza hichi chuo kinatoa Certificates au degree. N NAME DESIGNATION REMARKS 1 Dr...
1 Reactions
47 Replies
15K Views
Swala la wanafunzi 1600 wa intake mpya Udsm inahatarisha Hali ya chuo Juzi Maboko alifikia kukataa kuwaadmit wanafunzi wasio na mkopo kwa kuhofia Mgomo Je tutafika ?↲ Nawasilisha
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari zenu wanajf,mimi ni miongoni mwa waliochaguliwa kujiunga udsm kwa mwaka huu wa masomo. Naomba kwa yule anaefahamu anisaidie nifahamu chuo kitafunguliwa lini kwa first year?,pia joining...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Amount: Full tuition fee waivers, accommodation, living expenses and flights to and from London. Criteria: Academic excellence, development potential and financial need. Deadline: 01 November...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I'm hereby to get informations from members.any one with informations of sponsorship of education plz inform me i didin't get loans from heslb.so kama unajua taasisi yoyote inayofadhili elimu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa yoyote anaelewa naona ufafanuzi tafadhali. Mimi ni miongoni niliekosa mkopo lakini baada ya kuangalia breakdown za heslb nimekuta jina langu lipo kwenye kundi la Previous loanees. Hapa sielewi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
UNESCO offers five young journalists and bloggers the opportunity to participate in the 7th Youth Forum of the 36th UNESCO General Conference, taking place in Paris from 17 to 20 October 2011...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani mnisaidie hapa hivi watoto wanapopewa mtihani wa hisabati wa majibu ya kuchagua wanapima nini?,wadau wa elimu tuna domain 3 na vipengele vya katika table of specification,hawa wamewapima...
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Nimebahatika kuiona formation mpya ya masomo kadhaa ya mtihani wa form IV,.. Kote sina neno ila tatizo lipo katka mtihani wa chemistry ambapo nimeona kila sababu ya wanafunzi wengi kufanya...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
convert CARBON to BENZENE
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kuna yeyote anamfahamu mwalimu wa ala za muziki au yupo hapa naomba uni PM
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jamani ndugu zangu nimeapply mara ya pili lkn nilipoingia ktk profile yangu nimekuta programme zangu nne hakuna badala yake wameniongezea programme mbili ambazo sikuziomba na ni nje ya taaluma...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom