Msaada kuhusu asilimia za mikopo

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,487
2,000
gharama za course nayoenda kusoma ni mil 1 na laki 3,nimepewa mil 3 laki 9...hizi ni %ngapi?

umesahau hesabu za kubadili namba kamili kwenda ktk asilimia?. Hilo swali la form one ndg.

Vanpopeye

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
619
225
We wacha UMASABURI!...hapo kuna hela vitu vingi,sasa asilimia anazozungumzia yeye ni ada atalipiwa kiasi gani,acha kutumia kijambio kucrash wenzio!lione,hesabu za darasani sio za hela!...+#;)...

umepitia thread yake lakini?

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,487
2,000
Simple arithmetic.
Million3 na laki 9=3,900,000/= hii ni kwa miaka mitatu. Kama kozi yako ni 3yrs.
Gawanya kwa 3 upate kuwa kwa mwaka ni kiasi gani utapewa.
3,900,000/3=1,300,000/=
kwa mwaka mmoja unapewa milion 1 na laki tatu.
Gharama ya kozi ni millioni moja. 1,300,000-1,000,000=300,000.
Malizia hapo.

Vanpopeye

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
619
225
Umedema!
Simple arithmetic.

Million3 na laki 9=3,900,000/= hii ni kwa miaka mitatu. Kama kozi yako ni 3yrs.

Gawanya kwa 3 upate kuwa kwa mwaka ni kiasi gani utapewa.

3,900,000/3=1,300,000/=

kwa mwaka mmoja unapewa milion 1 na laki tatu.

Gharama ya kozi ni millioni moja. 1,300,000-1,000,000=300,000.

Malizia hapo.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom