Kwa kawaida hapa nchini kwetu tumezoea kusema mimi nafanya kazi huku napiga shule. Na hapo hapo tunaambiwa kuwa mshika mawili moja humponyoka.
Kwa upande wangu mimi naona sio sahihi sababu ili...
President Paul Kagame, on Friday evening, commended the decision by the US-based Carnegie Mellon University (CMU) to establish a campus in Rwanda, observing that it will not only boost the...
Wapendwa ningependa kujua hawa watu wa CPA wataniadmit vipi couse nimemaliza ordinary diploma ya account pale IFM sasa sijui kama ntaanzia kwenye ATEC au kwenye modules.
Seven out of 10 standard three pupils in the country can not read. The shocking revelation was made on Thursday during the launch of Uwezo Tanzanias 2011 Annual Learning Assessment report. The...
Wakuu habari yenu kwa ujumla?
Tafadhali nisaidieni, nataka kurudi darasani kwa training ya materials management ili kujiweka vizuri kikazi. Mi nafanya kazi kwenye field ya materals management...
hii kitu niliipost kwenye jukwaa la sheria lakini nimeshauriwa na mtu ni post huku kwenye jukwaa la elimu... Wadau naomba mawazo yenu..mtu anamaliza LLB mwaka huu, uamuzi mzuri zaidi ni upi...
Wadau naombeni kuuliza kama kuna mtu yeyote aliyeomba bodi kupitia equivalent na jina lake limetolewa kua amepata au amekosa make mwenzenu jina langu halionekani kotekote.
Sijui kama ntapata au...
Wakuu,nimechaguliwa chuo hiko,mnisaidie nipate jua gharama zake,nimepata BED- arts mkopo 3,262,500 nawasilisha wakuu cz nimetry kuangalia web yao hamna ki2..
wana JF naomba kuuliza, hiv kama m2 hajapata mkopo kabisa kwa sababu ya PRIVIOUS LOANEES anaweza ku appeal? kama anaweza, Je ?utaratib wa ku appeal ukoje? maana nlckia wanao appeal ni wale...
Kama kuna kitu kilichonifurahisha mwaka huu ni vigezo vipya vya bodi ya mikopo. Yaani vimetukumbuka sisi wanyonge tusiokuwa na kitu ambao tunasomea shule duni na kila tukijitahidi kusoma kwa akili...
The Norwegian Government funded Quota Scheme Scholarship for Masters and PhD Students from Developing Countries at universities and university colleges in Norway
Study Subject(s):Courses...
Habari zenu wanaJF,nimatumaini yangu wengi ambao niwadau wa hili jukwaa ni wanafunzi wa vyuo,wahitimu na watarajiao kuwa wanavyuo. Ila kuna malumbano ambayo mara nyingi nimeyakuta hasa kwenye...
Jamani suala la kukataza simu au laptops shule za bweni linashusha au linakuza elimu yetu?
Mtazamo wangu.
Kutokana na teknolojia ya sasa na vitabu havipatikani mashuleni si sahihi vitu hivi...
Nilijiuliza sana, kwanini siku hizi wanafunzi wanahitimu kidato cha nne lakini hawawezi hata kujitambulisha kwa kingereza. Japo hata kwa kutumia simple vocaubulary.
Nilifanya utafiti, nikagundua...