Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nimejaribu kupitia kwenye website yao lakini sijaona gharama zao, yeyote anayefahamu naomba msaada wako. Nataraji kufanya mitihan ya november
0 Reactions
9 Replies
6K Views
nataka nifundishe mwaka mmoja tu then baada ya hapo niende kusoma university for degree programmes! ninatakiwa nifanyeje wana jf ili wasisimamishe mshahara?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natumai wote mu wazima, samahani nahitaji kujua tittle ya kitabu kizuri cha kutengeneza database kwa kutumia SQL kwa beginners, yaani kwa mtu ambae hajui a wala b ya kudesign database kwa kutumia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi sisi kama wadau wa hapa TanzaniaKwetu suala la elimu kwa QT na Elimu ya juu,itafika siku kweli ikawezekana kuwa online?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Walionzisha huo mfumo wetu wenyewe wanafanya UPDATE kila siku kwakuongeza specialization kila ya kukicha mfano kuna kozi ya Degree inaitwa Front End Engineering ambayo ilikuwa sehemu ndogo sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila tukilala, Elimu. Kila tukiamka, Elimu. Namna ya kuishi, Elimu. Kufanya biashara, Elimu Kila tunachofanya, Elimu. Jamani, ni wazi kuwa kila siku za maisha yetu inabidi tuwaze Elimu sababu kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndugu wadau wa Elimu Tz, hii sasa inatisha mno kwani pamoja nakuwa na bodi mpya ya elimu lakini hamna ambacho kitaenda kufanyika kwani mwaka huu wanasema kuwa mkopo haitatolewa kwa waombaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The secret, if there is one, to winning a scholarship is to read the application carefully and then provide all of the required information and supporting documentation before the deadline...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Gazeti la Mwananchi leo lina habari isomekayo Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, Dk Shukuru Kawambwawa, amesema walimu nchini wangekuwa wanatumia nguvu kubwa wanayotumia hivi sasa kudai posho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
niambieni ukweli.kozi ipi huko chuoni inalipa na ajira zipo kemkem(Kwa sasa na kwa tanzania ya badaye) kati ya civil,telecom na electrical engineering.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Huwa yanikera sana kuona mwanamke mjamzito anasaidiwa na Doctor wakati wa kujifungua. Hv ni kwamba hamna madaktari wa kike au ni nn? Kwa nn wanawake wanadai haki sawa km suala hilo wanashindwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa nimepigiwa simu kutoka mkoani na jirani yangu,kijana wake kapata nafasi ya kujiunga Mzumbe University,na pia amebahatika kupata mkopo lakini sasa amemwambia mzazi wake kuwa inatakiwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tcu
Walisema wanatoa application for 3rd round soon after the release of 2nd but I wonder hawajafanya ivo mpaka mda huu...Is it right wanavyofanya tcu?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau mwenye cv ya watoto wa massaburi,deograius massaburi na john massaburi aimwage hapa maana hawa watoto eti wanafundisha kwenye chuo chake kiitwacho instistute of procurement and...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Hapa nchini kwetu kuna utaratibu unaotumika ambao ni usumbufu kwa wadau wa elimu hasa wanaoenda kusoma nchi za nje. Mtanzania anapomaliza elimu katika nchi fulani kisha akarudi Bongo land kuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wale wote mliocaguliwa udom kitengo cha science na hamkupata mikopo leteni mawazo yenu hapa mtueleze sisi wanajamii kwamba mna mpango gani juu ya elimu yenu mtaendelea kubaki nyumbani au harakati...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau naomba kuulizia ada ya kusoma masters degree katika vyuo vya ukraine na russia
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi kwa nn usingekuwepo utaratibu wa kureseat hz paper online hili hawa ndugu zetu wa Makazini wapunguziwe mzigo! me nahisi wabongo tukishirikiana inawezekana km jamiiforum, michuzi, jigambeads...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa amabye chuo alisomea busnes sprofession yeyote ambaye alifnya field kwenye credit and lending department plz i need help
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Kwa kawaida tumezoea kutafuta anwani za shule, vyuo na vitu vinginevyo vya muhimu kwa mda mrefu, na unaweza hata ukakosa habari husika uitakayo! Ila kutumia TanzaniaKwetu utapata habari na link za...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom