Kwa wale wa SUA
MAKAH
JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
1,589
Points
0
MAKAH
JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
1,589 0
Sio SUA tu vyuo vingi except St Agustine na (IFM??) ndo wana maelekezo kwa wanafunzi wao wapya kwenye web zao. Waliosalia kimya na hazifunguki - huenda wanazifanyia ukarafati ili zikitoka ziwe na vitu vipya!!!
Mzee
JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,469
Points
2,000
Mzee
JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,469 2,000
Salaam wakuu,hivi kwa wale waliochaguliwa SUA wanatakiwa wafike chuo lini?
jaribu kuingia web ya Sua uangalie kuna kitu inaitwa Alimanac, ipo clear sana. Unaenda kupiga kozi gani. Nilipitia sua.
Mzee
JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,469
Points
2,000
Mzee
JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,469 2,000
popeye,usiwe na kihoro,watakutumia joining instruction. ila andaa jembe na fyekeo (nakutania mwaya). hongera kwa kupata chuo. kila la kheri
Huwa Sua hawatumi joining Instruction. Ila pitia web yao wametoa maelezo fresh. Kama kuna tatizo we ni Pm, nimemaliza sua, so nakifahamu fresh.
Chitemo
JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
1,330
Points
1,225
Chitemo
JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
1,330 1,225
Hoooongeeeeera jembeee?!! Vp dogo wangu mbona unapapenda sana hapo morogoro.? Toka kule mahenge kwa kimbunga mpaka kilosa kwa wakaguru?
Vanpopeye
JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
619
Points
225
Vanpopeye
JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
619 225
Mmmh!...emb ni PM kuhusu wewe swahibbber?...mamboz.....ni mambo musuri ya SUA imenivutia!
Hoooongeeeeera jembeee?!! Vp dogo wangu mbona unapapenda sana hapo morogoro.? Toka kule mahenge kwa kimbunga mpaka kilosa kwa wakaguru?
Forum statistics
Threads 1,392,829
Members 528,722
Posts 34,119,021
Top