Hivi kwa nini serikali inajenga shule za kata bila nyumba za walimu?

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
493
113
Jamani nauliza hivi kwa nini serikali haijali walimu? mazingira magumu,kudharauliwa ndo usiseme! nini mtazamo wako?
 

Shamge

Member
Sep 4, 2011
21
0
Sio kwamba serikali haijali waalim, bali mchawi wa mwalimu ndani ya hili taifa letu ni mwalimu mwenyewe, Nitatoa kielelezo cha kuwepo kwa Maafisa elimu Sekondari ndani ya kila halimashauri ya Wilaya hawa jamaa ndio wame kuwa wachawi wa kwanza wa Elimu kwani wamekuwa kama miungu watu. NA SWALA LETU SISI WAALIMU KUTOJENGEWA NYUMBA NI HAKI YETU KABISA KWANI MARA ZOTE TUNAPODAI HAKI ZETU TUNATANGULIZA HAIBA MBELE HUKU TUKIWA TUNAJUA DHAHIRI YA KWAMBA SERIKALI YETU INASIKILIZA WAPIGA KELELE.
Hivyo nipende kuwashauri waalimu kuwa wawe na msimamo na wanapotangaza migomo zisiwe ni kelele za mbu nje net na waige mfano wa waalimu majirani zao hapo Kenya kwenye kudai haki, hapo ndipo heshima ya mwalimu itaonekana kwenye hili taifa
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,538
5,646
Mwalimu wa Tanzania hajui value yake, nani atamthamini?
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
MWALIMU...................huh,waliambiwa mahakama imesitisha mgomo wao sa 9 usiku nao wakakubali,ha haaa haaaa,walimu aiseeeeh
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom