Laptops shule za bweni ni sawa?

Sep 14, 2011
36
5
Jamani suala la kukataza simu au laptops shule za bweni linashusha au linakuza elimu yetu?

Mtazamo wangu.
Kutokana na teknolojia ya sasa na vitabu havipatikani mashuleni si sahihi vitu hivi kukatazwa kwani notes nyingi zipo online!

Hili ninyi wazalendo mnasemaje!
 
kwanza umeme upo wa uhakika au unataka kufikiria vitu vilivyo nje ya uwezo wa kipato chetu..

kwa swala la simu mi naona kama linaongea tu matumizi wanafunzi pia na wazazi ila kwa upande wa laptop kidogo ni nzuri mashuleni lakini kwa shule za kata bado ni kitendawili..

mwisho simu zina nafasi kubwa ya kupotosha mwanafunzi hasa wa sekondari..
 
Yap ni kweli hamna umeme kti shule zetu. Ila Ndetichia, cm huwa zina uwezo wa ku-access net
 
Hakuna bwana kwa sasa upo uwezo wa kuzuia hizo tovuti chafu,na vilevile wabongo kama vile hawa washikaji wa Jigambe wamerahisisha kukusanya tovuti zetu za bongo zote,mtu anaweza kuyajua mengi kwa tovuti moja tu,wewe pitia tanzaniakwetu harafu utaniambia!
 
Kibongo bongo wanafunzi wanavyopenda porno movie kutakuwa hamna elimu hapo!
Hakuna bwana kwa sasa upo uwezo wa kuzuia hizo tovuti chafu,na vilevile wabongo kama vile hawa washikaji wa Jigambe wamerahisisha kukusanya tovuti zetu za bongo zote,mtu anaweza kuyajua mengi kwa tovuti moja tu,wewe pitia tanzaniakwetu harafu utaniambia!
 
kwanza umeme upo wa uhakika au unataka kufikiria vitu vilivyo nje ya uwezo wa kipato chetu..

kwa swala la simu mi naona kama linaongea tu matumizi wanafunzi pia na wazazi ila kwa upande wa laptop kidogo ni nzuri mashuleni lakini kwa shule za kata bado ni kitendawili..

mwisho simu zina nafasi kubwa ya kupotosha mwanafunzi hasa wa sekondari..
Hakuna bwana kwa sasa upo uwezo wa kuzuia hizo tovuti chafu,na vilevile wabongo kama vile hawa washikaji wa Jigambe wamerahisisha kukusanya tovuti zetu za bongo zote,mtu anaweza kuyajua mengi kwa tovuti moja tu,wewe pitia tanzaniakwetu harafu utaniambia!
 
Ni bora ziwepo, ila hata kama uwezo wa kupatikana kwa laptop hautakuwepo basi hata Desktop zinafaa, ili wanafunzi waanze kupata mwanga wa technolojia inavyokwenda na waweze kuitumia vizuri ipasavyo, sio mpaka anapoanza kazi, tena mijini! Hii inachangia kurudisha nyuma taifa letu katika technolijia!
 
kwanza umeme upo wa uhakika au unataka kufikiria vitu vilivyo nje ya uwezo wa kipato chetu..

kwa swala la simu mi naona kama linaongea tu matumizi wanafunzi pia na wazazi ila kwa upande wa laptop kidogo ni nzuri mashuleni lakini kwa shule za kata bado ni kitendawili..

mwisho simu zina nafasi kubwa ya kupotosha mwanafunzi hasa wa sekondari..

ndetchia hii ni dunia ya .com bwana sio bbc(born before computer) sisi naona ingekuwa better kwa wenye uwezo ingekuwa allowed tuu siku hizi ishakuwa no .com no better education.
 
Mi naona linashusha elimu, kwa sababu kwa asilimia kubwa katika ulimwengu huu wa .com watu wanasoma kwa kutegemea mtandao. Hata walimu wanapofundisha wanawaambia wanafunzi mki-google mtapata majibu na maelezo kuhusu kitu fulani. Je, hawa wanafunzi wata-google kupitia nini kama simu na laptop zinakatazwa?
Zisizuiwe jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
kwa ulimwengu wa .com, kinakilishi (computer) ni muhimu sana kimasomo, kikazi na kisocial. So, kama zitakatazwa mashuleni mi nadhani tutazalisha watu ambao hawana uzoefu na hivi vitu (computer) ambavyo kwa asilimia kubwa vinatumika sana makazini. Je, ufanisi wa kazi utakuwepo?
 
Back
Top Bottom