Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari za kazi watanzania wenzangu. Naombeni mishauri kuhusu course inayofaa kumpeleka mdogo wangu mara baada ya kumaliza form four ikitokea matokeo yakiwa sio mazuri Aksanteni
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ingawa hata mimi sio mzuri kwa kiingereza soma habari hii ujue ukweli kuhusu shule zetu. By Christine Mungai, The East African (email the author) Posted Sunday, September 18 2011 at...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It is threatening to learn that about 14 million acres gotburned by wild fires,what do we do to help reduse and /or stop wild fires from becoming a common phenomena?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu chuo kikuu cha bagamoyo kina mfadhili wa kusomesha wanachuo wa hapo? kwani programme hata za education zinagharimu pesa za kitanzania kiasi cha shilingi 4990000/=kwa mwaka kama hakuna...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya kukosa udhamini wa serikali natafuta private sponsorship ili niweze kujiunga na chuo mapema mwezi ujao. Kuna mwenye uelewa wa namna na kutafuta sponsors? Naombeni mnisaidie!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimekosa Kazi na Nimeshindwa Kujiajiri..... pamoja na elimu ya darsani ya chuo bado sijaweza kupata kazi, na mfumo wa elimu niliopitia haujanipa skills za maisha sio ufundi mbao, nyumba...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Hatimaye sitofahamu inayo endelea kati ya WANAFUNZI na UBALOZI na SERIKALI kwa ujumla nchini msumbiji,wanafunzi hao waliamua kuhamishia makazi yaoubalozi wa Tz uliopo katikati ya jiji la...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hali zenu wanajf...nilikuwa naomba kujuzwa ni taratibu gani ambazo hufuatwa na mtu ambaye anataka kushift mkopo wake kutoka taasisi moja hadi nyingne.Kwa mwenye uzoefu au kujua kuhusu hili msaada...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Jamani nilisikia kwamba leo bodi ya mikopo ingetoa tamko la mwisho au majina mengine ya waliopata mkopo,kuna anaejua nini kinaendelea,naomba anijulishe
0 Reactions
5 Replies
1K Views
8 Ways to Quickly Get a ScholarshipIn awarding scholarships, organizations and universities look at many factors such as your application, academic transcripts, presentation, essays, community...
1 Reactions
0 Replies
806 Views
Kuna taarifa kuwa wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari ya Mgololo iliyoko Wilaya ya Mufindi, Iringa hawajui kusoma wala kuandika Mkuu wa shule amemwandikia barua Mkurugenzi Mtendaji wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaribu kutembelea TanzaniaKwetu ujifunze mengi kutoka site zetu za bongo!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF chuo kikuu huria Tanzania kinatoa stashahada ya elimu ya msingi ambayo hakuna chuo chochote cha ualimu kinachotoa stashahada hiyo.Aidha ktk wizara ya elimu sijawahi ona tangazo au...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wana jf, nahitaji kujua vyuo vya biashara mbali na vile vinavyojulikana sana kama cbe, ukiniAMBIA jina la chuo na mahali kilipo utakuwa umenisaidia sana
0 Reactions
1 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Kama shule zinajengwa, na zina wanafunzi ila walimu wanakosekana, Je? ni za kazi gani? Unatoa ushauri gani kwa serikali yetu? Zianzishwa Online school ?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Inafahamika wakina mama ndio wadau wakubwa katika KUKUA KWA UCHUMI kutokana na idadi yao tanzania hivyobasi ndo wakopaji wakubwa katika financial institutions hivi kwanini wasingepatiwa elimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikiangalia maisha ya huku kwetu, sio mazuri wala mabaya sana, sema kuna baadhi ambao wamefanikiwa, na wengine kama si tupo bado hoi, Sasa kwa nchi za nje kuna mfumo wao wa watu kufanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani Hivi Elimu inayotolewa humu nchini kwetu na hiyo ya nje ipi ni bora? Nchi za nje hasa sa bara la marekani, ulaya na aisia, mbali na africa!
0 Reactions
31 Replies
7K Views
kuna anae jua ni lini watatoa?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Guys ukiwa unasoma chuo kama udsm unaweza kufanya ishu yeyote ya kukuingizia kipato?naombeni mniambie kama inawezekana na ni ishu gani au biashara gani mtu unaweza fanya
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom