Msaada:- Proffesional Development Training in MM


futikamba

futikamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2010
Messages
243
Likes
0
Points
33
futikamba

futikamba

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2010
243 0 33
Wakuu habari yenu kwa ujumla?
Tafadhali nisaidieni, nataka kurudi darasani kwa training ya materials management ili kujiweka vizuri kikazi. Mi nafanya kazi kwenye field ya materals management ingawa profession yangu ni IT. Tokea nimeanza kazi hii cjawahi kupata professinal training rather in-house ambayo kusema ukweli nimeipata kwa shingo upande kwani wenzangu nliowakuta hawakupenda ujio wangu. Naombeni mnisaidie kama kuna sehemu nnayoweza kupata intensivr training ya MM hata kwa mwezi mzima na iwe nje ya nchi. Kwa yeyote anayejua makampuni/ institutions wenye hizo training plz nijulisheni. Natanguliza shukrani.
F. K
 

Forum statistics

Threads 1,238,278
Members 475,878
Posts 29,314,610