Walimu wataajiriwa kweli ?

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,927
2,030
serikali imefilisika.
Hizi ni porojo serikali haiwezi kufilisika hata robo ya kwanza ya mwaka wa fedha haijaisha. Supplimentary zenu chuoni ndio tatizo na wengi wetu hatujui kwamba ajira ni process inayoanza kwa wewe kufanya mtihani wa mwisho yaani kwa wale wa Cheti, Diploma na Chuo Kikuu, matokeo yakitoka kuna kusort out waliofaulu na waliofeli then kupangiwa vituo kulingana na mapendekezo ya Tamisemi kazi inayfanywa na Wizara ya Elimu, then Tamisemi wana approve kama imezingatia mapendekezo yao, kisha inapelekwa Menejimenti ya Utumishi wa Umma kwa ajili ya kuwianisha na mishahara kisha inapelekwa Hazina baada ya hapo Wizara ya Elimu inatangaza. Sasa fikiria Bunge ndio kwanza limemalizika mwishoni mwa August na matokeo ya Certicate na diploma yametoka juzi tu na baadhi ya Vyuo Vikuu hata Supplimentary hazijafanyika. Hiyo ndio halisi ni vizuri tukawa realistic kwenye baadhi ya mambo badala ya kukurupuka wakati hatuna majibu ya uhakika kwa mtoa hoja
 
Pukudu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
3,144
2,155
kwa wale waliomaliza 2010 waliajiriwa feb 2011 kwa hyo acha mchecheto bado saana endelea kuuza sura kitaa
 
mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,301
463
Hizi ni porojo serikali haiwezi kufilisika hata robo ya kwanza ya mwaka wa fedha haijaisha. Supplimentary zenu chuoni ndio tatizo na wengi wetu hatujui kwamba ajira ni process inayoanza kwa wewe kufanya mtihani wa mwisho yaani kwa wale wa Cheti, Diploma na Chuo Kikuu, matokeo yakitoka kuna kusort out waliofaulu na waliofeli then kupangiwa vituo kulingana na mapendekezo ya Tamisemi kazi inayfanywa na Wizara ya Elimu, then Tamisemi wana approve kama imezingatia mapendekezo yao, kisha inapelekwa Menejimenti ya Utumishi wa Umma kwa ajili ya kuwianisha na mishahara kisha inapelekwa Hazina baada ya hapo Wizara ya Elimu inatangaza. Sasa fikiria Bunge ndio kwanza limemalizika mwishoni mwa August na matokeo ya Certicate na diploma yametoka juzi tu na baadhi ya Vyuo Vikuu hata Supplimentary hazijafanyika. Hiyo ndio halisi ni vizuri tukawa realistic kwenye baadhi ya mambo badala ya kukurupuka wakati hatuna majibu ya uhakika kwa mtoa hoja
bora umefafanua naona vijana wana moto sana lakini wakishapangwa wanachukua pesa na kukimbia alafu tunapiga kelele ufisadi wakati ufisadi unaanzia kwa mtu mmojammoja
 
SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,927
2,030
bora umefafanua naona vijana wana moto sana lakini wakishapangwa wanachukua pesa na kukimbia alafu tunapiga kelele ufisadi wakati ufisadi unaanzia kwa mtu mmojammoja
Wanakera sana hawa vijana, wanapiga hesabu za mafanikio ya haraka haraka sawa na wazee walioanza kazi miaka ya 80 huko bila kujua kuwa kila kitu kinaenda taratibu. Wanachojua wao ukimaliza Shule ni kuanza kazi na kupata mshahara siku hiyo na kisha kutoroka kurudi mjini au kutafuta part time za kufundisha
 
Spellan

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
307
14
Wataajiriwa waliofaulu mitihani yao na mpaka bajeti ikamilike ambapo ni pamoja na kufanya upembuzi yakinifu wa maeneo magumu kwaajili ya (hardship allowance)
 
Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
493
113
Wataajiriwa waliofaulu mitihani yao na mpaka bajeti ikamilike ambapo ni pamoja na kufanya upembuzi yakinifu wa maeneo magumu kwaajili ya (hardship allowance)
<br />
<br />
lini sasa huo upembuzi utaisha mkubwa.
 
The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,695
1,243
ndo matatizo ya kusoma course zinazotegemea kuajiriwa ndo utoke,ungepiga zako ufundi seremala hayo yote yangetoka wapi,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom