Wapendwa ningependa kujua hawa watu wa CPA wataniadmit vipi couse nimemaliza ordinary diploma ya account pale IFM sasa sijui kama ntaanzia kwenye ATEC au kwenye modules.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us