Katoma
Senior Member
- Mar 11, 2008
- 133
- 9
Nia hasa ni kuwataarifu waTanzania wenzangu hasa wanaomaliza chuo mwaka huu au waliomaliza mwaka jana kuhusu nafasi za Scholarships. Kwa wale wanaotaka kusoma MSc ama PhD
katika Engineering au Life Sciences, ningependa kuwafahamisha kuwa Jacobs University Bremen inatoa scholarships na stipend kibao na inasikitisha kuona waTZ wengi hawafahamu nafasi hizi. Hivyo, nikaona ni vyema kutumia tovuti hii ili niweze kufikisha ujumbe kwa wengi. Masomo yote yanafundishwa kwa kiingereza
na chuo kina jumla ya wanafunzi kutoka nchi 91. Tarehe ya mwisho kwa kutuma maombi ni May 1st 2008. Kwa wale wanaotaka kutransfer ili waingie BSc mwaka wa 2 hapa, pia kuna maombi ya Transfer. Tafadhali nitumie ujumbe kama kuna maswali mwesiga.ruttatelana@googlemail.com ama tazama:
http://www.jacobs-university.de/admission/graduate/10427/index.php
http://www.jacobs-university.de/about/visit/00227/
http://www.jacobs-university.de/testpages/viewbook/index.html
Nashukuru,
Mwesiga