""wanyanganywa Leseni Kwa Kukataa Kuwauzia Bidhaa Ccm -pemba

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,132
17,109
Hii ni habari ya kusikitisha na kuhuzunisha kwa kila mtanzania ambae anapenda amani na nchi yake..huko pemba mkuu wa wilaya ya wete ameamua kuyafungia maduka sita ya kijiji cha kigongoni baada ya wamiliki hao kukataa kuwauzia wanachama wa simbamahitaji yao....akizungumza na pst sheha wa kata hiyo amesema hata yeye amepokea malalmiko mengi kuhusu hayo ....naibu katibu mkuu wa cuf wakati akihojiwa alishindwa kujibu na kusema naomba nipigie leo jioni ntakuwa na jibu...ila alisema kama wananchi wameamua kufanya hivyo ili wapate haki yao serikalini basi ni haki yao kufanya hivyo...kazi ipo..
wana jf haya ni majaribu makubwa kila mwenye dini na amwombe mungu wake vinginevyo tunarudi kenya muda si mrefu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom