OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,943
- 425
mwanachuo atoa mimba ya miezi saba CBE DODOMA CAMPUS na kutupa kitoto kichanga chooni CBE DODOMA CAMPUS kikiwa tayari kimekufa
wanafunzi wa chuo cha biashara dodoma wameokota kitoto kichanga kikiwa kimesukumiwa ndani ya karo la toilet.tukio ilo la kutoa mimba llimelahaniwa vikali na viongozi wa dini.lakini cha kusikitisha ni kwamba uongozi wa chuo umeshindwa hata kUtoa karipio