Loan Board Bado Hajatoa Tuition Fees Uhasibu Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Loan Board Bado Hajatoa Tuition Fees Uhasibu Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Manyiri, Jun 10, 2008.

 1. M

  Manyiri Member

  #1
  Jun 10, 2008
  Joined: Oct 27, 2007
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  WANAFUNZI CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WALIOPATA UDHAMINI WA LOAN BOARD WAKIWA MWAKA WA PILI HAWAJAWEKEWA TUITION FEES NA BODI HIYO HADI LEO AMBAPO IMEBAKI WIKI MOJA WAFANYE MITIHANI NA WAMETAKIWA KULIPA WAO WENYEWE HUKU WAKIWA TAYARI WALISHAPEWA MEALS ALLOWANCE NA FEDHA ZA ACCOMODATION TANGU MWANZONI MWA MWEZI WA TATU .TATIZO HILI KWA KIASI KIKUBWA NI LA LOAN BOARD KWANI WALISHAWAFANYIA MEANS TESTING HAO WANAFUNZI NA KISHA WAKAWAPA MEALS ALLOWANCE NA ACCOMODATION FEES LAKINI WAMESAHAU KAMA KUNA TUTION FEES AMBAYO WALISEMA WATALIPA DIRECTLY CHUONI MAAJABU NI KWAMBA HAKUNA TUTION FEES HADI SASA AMBAPO WANAFUNZI WAMETANGAZIWA KULIPA HIYO FEES.TANGAZO LILILOTOLEWA NA MANAGEMENT YA UHASIBU NI HILO HAPO CHINI.WADAU NAOMBA MCHANGIE .

  "Wanafunzi wote wanaodhaminiwa na board ya mikopo kwa mara ya kwanza na hawajalipiwa ada hadi leo wanatakiwa wajilipie ada wenyewe.Tafadhali mlipe mapema kabla ya mitihani kuanza ili kuepuka usumbufu.

  Asanteni
  K.n.y Mkurugenzi wa fedha
  "
   
Loading...