biochemist, microbiologist, molecular cell biologist mentor

epigenetics

JF-Expert Member
May 25, 2008
269
77
Salamu,
mimi ni mwanafunzi wa degree ya kwanza ya biochemistry (mwaka wa 3) na ningepende kuomba kuwasiliana na mTanzania yeyote ambaye anasoma ktk field hii popote duniani at MSc, PhD, or post-doc level. I am in dire need of inspiration from my countrymen!
Asanteni,

nitumie ujumbe mfupi at: justinian99@googlemail.com tudiscuss Science.

Mugisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom