Ushauri wadau

Mwalimu S

Member
Sep 20, 2015
41
33
Kuna jamaa ni Mwl wa s/msingi ana credit pass za O'level za kumruhusu kufanya mtihani wa Advance ana division three point 23 ya mwaka 2009 matokeo yake yako hivi B/maths C..chem C..kisw C..Eng C..Bio D
Geo D..Hist F..Civcs C phycs hajafanya combination hazkuwa poa EGM Geo alipta D CBG Bio na Geo kapga D na combination za art hamna kitu Host ana F.. alijiunga na Ualimu grde 3A wakat Yuko chuo alichaguliwa second selection A level shule ya mwika kwa EGM kulingana na baadh ya wanafunz kutorpot lkn aliamua kuendelea na college saiv ni Mwl mwaka wa 3 kazn college alipga GPA ya 3.8 (credit) anataka kujiendeleza vipi asome Diploma ya S/msingi au Afanye mtihani wa advance kwa comb yake ya EGM ili awe huru kusoma anachotaka university USHAURI WENU MUHIMU
 
Last edited:
kwa mawazo yangu tu cheti chake kizuri tu ila kwa mimi ningeshauri angeenda OPEN UNIVERSITY waga wanatoa kozi pale inaitwa foundation 2years kisha degree(kama sijakosea) kuliko aende advance tena. sema atakachoongeza hapo ni MSHAHARA japo anaeza asihamishwe .

we are after money
 
shukran wadau kwa ushaur mshkaj anadai hamu yake kubwa ni kufanya mtihani wa A level na anadai ameshaanza msuli na mwakan huenda akafanya paper as private candidate
 
shukran wadau kwa ushaur mshkaj anadai hamu yake kubwa ni kufanya mtihani wa A level na anadai ameshaanza msuli na mwakan huenda akafanya paper as private candidate
WEWE ACHA UJINGA!

USISEME MSHIKAJI,
JITAJE TU UWE NA UHURU WA KUSHAURIWA NA KUUPOKEA USHAURi.
 
Unafanya masihara na msuli wa A level mtu anatoka na one kali 4m4 anarudi na king"amuzi nyumba mi advance si mshauri mtu aende sio pazuri hata kidogo labda usome shule za private ndo itakuwa raisi kwako hiyo mkuu
 
Sema unaomba ushauri sio unajifanya wauliza badala yawingine.
Ushauri ufanye mtihani
 
nahitaji mwl wa kunissuport EGM kwa kina ambaye atanifanya nifaulu kama yupo ani PM
 
kwa mawazo yangu tu cheti chake kizuri tu ila kwa mimi ningeshauri angeenda OPEN UNIVERSITY waga wanatoa kozi pale inaitwa foundation 2years kisha degree(kama sijakosea) kuliko aende advance tena. sema atakachoongeza hapo ni MSHAHARA japo anaeza asihamishwe .

we are after money
 
kwa mawazo yangu tu cheti chake kizuri tu ila kwa mimi ningeshauri angeenda OPEN UNIVERSITY waga wanatoa kozi pale inaitwa foundation 2years kisha degree(kama sijakosea) kuliko aende advance tena. sema atakachoongeza hapo ni MSHAHARA japo anaeza asihamishwe .

we are after money

foundation course ndo mpango
 
Back
Top Bottom