MPENDA WATU
New Member
- Jan 7, 2016
- 2
- 1
Naomba ushauri,
Kwani toka 2011 sijapata kazi, nilisoma uhasibu na bado nko mtaani cjapata kazi. Nahtaji nkipangwa ualimu nije nibadili fani ili nirudi uhasibu na hilo ni baada ya kupata CPA.
Je, itawezekana hilo?