Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 32,824
- 34,758
Habari,
Naomba kujua yafuatayo..
1. Kwa waliomaliza kulipa mikopo ya elimu ya juu, kuna document yoyote inayotolewa kwa aliyemaliza kuonyesha kwamba amemaliza drni..??
2. Kama ipo inapatikanaje..???
Naomba kufahamishwa