ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,318
- 50,532
Ni mtoto wa jiran yangu anachukua haya Masomo yenu ya science form 6 ana mdogo wake mdogo ambaye ni kiziwi/bubu. Sasa yeye ana ndoto za kuja kuwasaidia Watoto ambao wana ukiziwi kama mdogo wake hivyo ameniuliza chuoni huko kuna faculty gani zinazohusiana na hayo mambo
Mimi nikamjibu kuna ualimu na udaktar wa watu viziwi ila hajaridhika na hayo majibu a nataka na majina ya hizo kozi vyuo vinavotoa pamoja na information zozote kuhusu wataalam wanaodeal na viziwi. Nimeona nije nimuulize kwa wasomi wenzake
Nipeni details wakuu mnaojua hayo mambo
Asanten