Elimu bure Tanzania

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
332
Salam sana wanajanvi,

Awali hatuna budi kupongeza jitihada za serikali katika kuvalia njuga suala la elimu yetu. Hongera sana.

Binafsi nina swali kwa wadau wa elimu,

Je wanafunzi kusoma bure kutachangia katika kuimarisha ubora na ufanisi wa elimu yetu?
 
Kutatoa nafasi kwa wanafunzi wanaotoka ktk familia zisizojiweza. Ambao kama elimu isingekua bure, wao wasingeweza kuzimudu; nao wapate elimu.
Kuhusu ubora na ubure wa elimu, naona hakuna uhusiano. Ubora utaletwa na mengine, sio ubure wa elimu.
 
Back
Top Bottom