Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,804
Wana jamvi huwa najiuliza sana kwa nini vyuo vikuu vyote vya serikali vinaongozwa na makam mkuu wa chuo ya van vice chancellor na uyo mkuu wa chuo yani chancellor kazi zake ni zipi
Mfano UDSM kinaongozwa na mkandara, Open kinaongozwa na Basanda , Mzumbe vilevile kinaongozwa na makam pia UDOM yan vyuo vyote vya serikali vinaongozwa na makam mkuu
Wasiwasi wangu isije kua hao wakuu wenyewe wa vyuo wakawa ni wanasiasa na kama ni wanasiasa basi tusitegemee tofauti kati ya PHD holder na graduate au graduate na form four.
Wakuu naomba kujua hao wakuu wa vyuo hivi vikuu vya serikali wako wapi na kazi zao ni zipi