Ndugu zangu, kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Kwa mwenye kufahamu, ninaomba mnitajie shule za Chekechea na za msingi zilizopo Arumeru na hata Arusha mjini zinazomilikiwa na taasisi za kiislamu na zinazofuata maadili ya kiislamu.
Naombeni tafadhali. Ziwe ni shule zenye viwango bora vya Elimu