texaz mc
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 371
- 205
Habari zenu, mimi ni mwanafunzi wa kidato cha pili niliemaliza mwaka jana. Matokeo yangu yamesema nimefaulu kwa wastani wa B (merit) huku nikipata B+ kwenye BIOLOGY, CHEMISTRY na ENGLISH. Je mnaonaje matokeo yangu
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009