Breaking News!!
Waziri wa elimu Dr Joyce
Ndalichako afuta rasmi mfumo wa
kukokotoa matokeo kwa mtindo wa
GPA. Aagiza matokeo ya kidato cha
4 na 6 yatolewe kwa mfumo wa
madaraja (divisions) kama
ilivyokuwa hapo zamani.
Adai kuwa amefikia uamuzi huo
baada ya Baraza la Mitihani
(NECTA) kushindwa kutoa utetezi wa
kisayansi juu ya sababu
zilizopelekea wao kubadili mfumo
wa upangaji madaraja ya ufaulu kwa
wanafunzi...
Namuunga mkono mh. Waziri kwa
nguvu zote!!!
Waziri wa elimu Dr Joyce
Ndalichako afuta rasmi mfumo wa
kukokotoa matokeo kwa mtindo wa
GPA. Aagiza matokeo ya kidato cha
4 na 6 yatolewe kwa mfumo wa
madaraja (divisions) kama
ilivyokuwa hapo zamani.
Adai kuwa amefikia uamuzi huo
baada ya Baraza la Mitihani
(NECTA) kushindwa kutoa utetezi wa
kisayansi juu ya sababu
zilizopelekea wao kubadili mfumo
wa upangaji madaraja ya ufaulu kwa
wanafunzi...
Namuunga mkono mh. Waziri kwa
nguvu zote!!!