festus sostenes
Member
- Jul 28, 2012
- 6
- 2
Habari wanajukwaa? Mwenzenu nina swali ambalo sielewi... Mwaka jana nimeomba NACTE kujiunga na course ya Diploma katika health Science (Medical laboratory technology). Nilichaguliwa chuo fulani kiko Kinondoni kinaitwa Mount Ukombozi kwamba nikasomee ORDINARY DIPLOMA IN MEDICAL LABORATORY. Kutokana na ada kubwa niliamua kuhama nikajiunga na chuo fulani (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) nikawa nimesajiliwa kusomea ORDINARY DIPLOMA IN MEDICAL LABORATORY sawa na ilivyokuwa kule Mount Ukombozi.
Ambacho sijaelewa ni kwamba nilipofika nilikuta classroom iko moja na kuna watu wanaosema wamesajiliwa kusoma Certificate (Yaani NTA level 4. Naomba mnifahamishe je utaratibu wa NACTE ni kwamba wote yaani waliosajiliwa Certificate na Diploma wasome darasa moja miaka mitatu na ndo ilivyo kwa vyuo vyote? Na kama ni hivyo kunq significance gani kuweka ENTRY REQUIREMENTS kwamba hizi ni za Diploma na hizi ni za Certificate kama wote tutakaa darasa moja?
Anayefahamu anisaidie please