natafuta mfadhili

Dec 17, 2015
41
4
kwa jina naitwa juliano norman(24),ni mkazi wa mtwara,mimi ni wa kwanza katika familia ya watoto watatu,kwa ujumla mimi na ndugu zangu ni yatima wa kufiwa na wazazi wote,kutokana na matokeo mabaya ya kidato cha nne nilichohitimu katika shule ya sekondari mtangalanga iliyopo km 3 kutoka newala mjini niliradhimika kujisomea ili nirudie mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014,nilifanikiwa kurudia masomo 5 na kupata c,c,b,d na d,wakati nafanya mpango wa kuendelea na masomo baba yetu alitutoka 26/05/2015 na kupelekea kuenda shule kwani nilikosa msaada wa kiuchumi,hivyo nipo hadharani kuombeni ufadhili wa kunisomesha kidato cha 5 au kunichangia ada au kwa wakazi wowote wa mtwara kama una kazi yoyote unisaidie ili nipate ada ya shule,nawaombeni sana kwani nahitaji niyafikie malengo yangu na niwasaidie ndugu zangu ambao mie ndio tegemezi lao kubwa.
 
Back
Top Bottom