Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 737
Naomba kujua ni Vitabu gan vizuri vya kufundishia na vya mwanafunzi vya somo la civics kuanzia kidato cha 1-4 visiwe vya Oxford tahadhari.....
Naomba kujua ni Vitabu gan vizuri vya kufundishia na vya mwanafunzi vya somo la civics kuanzia kidato cha 1-4 visiwe vya Oxford tahadhari.....
Daaaa mtoa post nadhani hatorudia tena. Watu mna majibu.Mkuu Ungeomba Labda Tukupe Magazeti Ya UDAKU Nadhani MREJESHO Wake Ungekuwa Ni Wa KUTUKUKA Lakini Unatuomba Kama Si Kutuulizia Watanzania Vitabu Huoni Kama UNATUTUKANA Mkuu? Mtanzania Na Vitabu Ni Sawa Na MAGAIDI Na WAMAREKANI.
Hakuna kitu palee Vitabu vyeupe saana yana material machache sanaMbona vya Oxford vipo vizuri Sana MKUU au ushamezesha sumu
Siwez ogopa majibu ya watu maana ni maneno tuu hayaui hayoo...Daaaa mtoa post nadhani hatorudia tena. Watu mna majibu.