Nahitaji kuuliza, mwaka jana 2015 nilifanya application ya kujiunga na masomo Tanzania Institute of Accountancy kwa Postgraduate Deploma in Procurement and Logistics Management kwa masomo ya jioni, nilikamilisha legislation mpaka kupata legislation no. Ila ilibaki kufanya malipo ya ada tu,, nikapata safari ya ghafla ya matatizo ya kifamilia nje ya mkoa kwa miezi 6, je ninaweza kuresume nafasi yangu ila ya mwaka jana kwa kuanza fresh mwaka huu au ndo itanibidi nianze upya usajiri kama wakati naanza,, hii ni kipindi cha usajiri utakapo anza