Tuwekeze katika Elimu.

ADRIAN

Senior Member
Dec 31, 2012
113
27
Wanajukwa salamu!

Napenda kuwashauri wazazi na walezi kwa ujumla kuhakikisha mnawekeza kwenye Elimu kwa ajili ya watoto wenu kwa manufaa yao ya badae.

Maendeleo yoyote hutokana na Elimu bora.

Asanteni.

Tukutane Whatsapp 0767462729
 
Serikali imeishatusaidia Elimu bure hvo tulijitaid kuwekeza kwenye siasa safi hakuna haja ya kuangalia elimu kwa upandewa wazazi bali tumewaachia serkali.
 
Back
Top Bottom