Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
Mkuu umenikumbusha enzi zetu za Additional Mathematics!Divide by 3 throught
K^2 -11k+24=0
K^2-8k-3k+24=0
K(k-8)-3(k-8)=0
(k-3)(k-8)=0
K=3 or 8
Watu wengine mna mbwembwe swali limeulizwa unalijua msaidie hujui tulia wanaojua watamsaidiaingia youtube, hivi mnatumiaga youtube kufanya nini nyie watanzania??