habari wana jf...hope mko poa...mm ni mwanafunz nliemalza masomo ya diploma ya umeme katika chuo cha must...kwa bahati mbaya gpa yngu haikua nzuri..ilikua ni 2.5.... na inavosemekana ili uweze kuunga degre inabd uwe na gpa kuanzia 2.7..... Naombeni mnijuze kama kuna mwenye ufahamu wa njia yoyote au uwezekano wowot wa kueza kunisaidia niunge masomo ya degree maana gpa yangu iko below na kiwaango chao