Uuguzi na udactari ni kada mbili tofauti japo zote ni za afya.
Hiwezekani. Ukitaka kusomea Udactari lazima ukasote five year na pia uwe ulikua umefaulu vizuri katika masomo ya Biolojia,Kemia, na Fisikia.
naamini ntanistahi kwa kutohoa
Uko miaka ya 1980s mkuu.Tafuta mshahara wa nesi mwenye degree pamoja na marupurupu yake utashangaa.KAMA UMEFAULU FORM SIX USISOME UUGUZI NI FANI AMBAYO IMEPUUZWA KABISA TZ.MANESI WANAKESHA USIKU KUCHA KWA SIKU TATU BILA MALIPO HALI MADAKTARI HATA WASIPO KESHA WANALIPWA.UGUUZI NI TAALUMA MBAYA UTAJUTA.
Misconception ni kitu mbaya. Nursing fani mbaya!!?? Amizing!!! Usilolijua litakusumbuaUko miaka ya 1980s mkuu.Tafuta mshahara wa nesi mwenye degree pamoja na marupurupu yake utashangaa.
Hivi unajua wanalipwa kiasi gani..? Hivi unajua baada ya kukesha(Night) kuwa wana mapumziko(OFF) ya siku kadhaa..! Ofcoures, ukisema kukesha; unamaanisha hawalali kabiisa( jambo ambalo sio 100%)...KAMA UMEFAULU FORM SIX USISOME UUGUZI NI FANI AMBAYO IMEPUUZWA KABISA TZ.MANESI WANAKESHA USIKU KUCHA KWA SIKU TATU BILA MALIPO HALI MADAKTARI HATA WASIPO KESHA WANALIPWA.UGUUZI NI TAALUMA MBAYA UTAJUTA.
MaNesi wana mshahara mzur balaaa kulinganisha na Fani tofaut ambazo si Afya..Uko miaka ya 1980s mkuu.Tafuta mshahara wa nesi mwenye degree pamoja na marupurupu yake utashangaa.
Wakubwa naomba mnifafanulie kuhusu hili;
Mtu mwenye degree ya uuguzi akihitaji kujiendeleza baadae anaweza kuchukua masters ya udaktari au inakuaje? Natanguliza shukurani.
OK,Nisingependa kutaja chuo lkn n humu tz na bado naendelea na masomo