Sioni jina TAMISEMI wakati vibali vyote nilikamilisha

N811

Member
Nov 22, 2013
8
8
Ndugu zangu mimi nimekamilisha vibali vyote vya uhamisho lakini cha ajabu sioni jina langu, kama kuna mwenye tatzo kama hili tusaidiane jinsi ya kufanya chap chap.
 
Teh sasa wewe badala ufatatilie tatizo lako unaanza kutafuta washirika kwanza, nenda kwa RAS ukaangalie kama walipeleka barua yako TAMISEMI
 
Kuna file la ambao hawajafanikiwa kaangalie kama lipo maana wanaandka na sababu ya kutofanikiwa
 
Back
Top Bottom