Naomba Ushauri

mrscamal

Member
Apr 26, 2014
6
0
Salamu nyingi wana Jamii..
Nataka kusomea uwalimu wa kufundisha shule za international ngazi ya primary ni chuo gani kina OFFER kozi nzuri??
 
Level yako ya elimu
Pwilo nashukuru, elimu ni - Form nimemaliza Kenya pia nina certificate ya Nursery Teacher na nina experience ya kufundisha kama assistant teacher kwenye international school miaka 5.

Zaidi nachohitaji ni (LIST) majina ya vyuo hapa Dar vinavyotoa kozi ya education kwa international level kama A3 vile.
 
Mbona husomeki Mkuu? umemaliza kidato cha ngapi?
 
Pwilo nashukuru, elimu ni - Form nimemaliza Kenya pia nina certificate ya Nursery Teacher na nina experience ya kufundisha kama assistant teacher kwenye international school miaka 5.

Zaidi nachohitaji ni (LIST) majina ya vyuo hapa Dar vinavyotoa kozi ya education kwa international level kama A3 vile.
form 4, Kenya.
 
Back
Top Bottom