Kwa akili yako hiyo ruzuku ndio inaingia darasani kufundisha?Huyo mwalimu hakupata ruzuku au ni nini? Kichwa cha habari kingine maelezo mengine. Waalim hata waliomaliza la 7 hapo mwaka jana awarudishe wawafundishe wadogo zao.
Elimu bure si waalim bali ruzuku
Kazi ambayo sio ya kipumbavu ni ipi?hii kazi ya kipumbavu sana mjomba wangu kastaafu toka mwaka juzi hadi leo hajapata mafao yake halafu yuko mahututi hata mia yakujitibia hana