Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

uvungu

JF-Expert Member
Nov 30, 2014
384
127
Wadau tufahamishane kama barua za KIBALI kama zimefika wilayani kwenu.
 
Kwangu tabora wilaya ya uyui bado na tangazo linasema ni kuanzia tar.22 january zitakuwapo kwa wakurugenz wote,japo rafiki yangu yupo mtwara ameniambia yy kesha pata na jana alikuwa kufunga datasheet.
 
mmhh!! asa iv kuna tetes kuwa mshahara unatoka hazina kuu tofaut na zaman ambapo mshahara ulkuwa unalipwa kutoka halmashaur ..
nlzan hakuna athar yyte ile
 
Samahan wanajf,tamisemi imesha toa majina kwenye mtandao,?kuna ndug yupo kijijin sana alikuwa hajabahatika kuyaona,but tunatafuta kwenye Mtandao hamna kitu,plz Mwenye information
 
Samahan wanajf,tamisemi imesha toa majina kwenye mtandao,?kuna ndug yupo kijijin sana alikuwa hajabahatika kuyaona,but tunatafuta kwenye Mtandao hamna kitu,plz Mwenye information
Tayari toka tareh 16 mm nipo so kwa msaada nikusaidie tuma majina yake anakotoka Na wilaya anayoenda nimuangalizie
 
Mada tajwa hapo juu yahusika!
Kuna mwalimu ameshapata barua ya kuhamishwa na TAMISEMI?Kama yupo ebu funguka tubadilishane ujuzi
 
Jamani hizi barua toka Tamisemi znafika lini hapa Tabora na uyui maana kunachosha kweli mwenye taarifa anijuze tafadhar maaana mmmh.
 
Huku kwetu Kisarawe tayari naamini hadi jumatano data sheet nitakuwa tayari watu tuondoke tukalupoti makazi mapya. Cha msingi fuatilieni wilayani hapo ulipo.
 
Back
Top Bottom