Onyesha uwezo wako wa ku-DEBATE

jay311

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,932
2,715
Unakumbuka kipindi kile cha English form 2 "B"...??

TECHNOLOGY BRINGS MORE HARM THAN GOOD.....prepare a motion to OPPOSE or PROPOSE.....!!!!

i miss those days..

Kwani ww ulikuwa upande upi? Hebu fanya yako hapa tuone upande upi utashinda,,,, twende kaazi...
 
Mleta mada anaanza kuongea kiswahili tena, du. kiingeleza ni nouma
 
Thank you chairman,secretary,opposers and proposers and members of the flour.....
Am here to oppose the motion which state zat....... for the following reason
1: Phone, technology brings phone which am use even now and we use to call our parent at home.

2: Cuted cost of production. Technology help to take cost of production down because it is cheap

3: Technology has bring jobs because many people get things and use it to sell.

Thank you let me wait for my friend then i can come.back later.....
 
Unakumbuka kipindi kile cha English form 2 "B"...??

TECHNOLOGY BRINGS MORE HARM THAN GOOD.....prepare a motion to OPPOSE or PROPOSE.....!!!!

i miss those days..

Kwani ww ulikuwa upande upi? Hebu fanya yako hapa tuone upande upi utashinda,,,, twende kaazi...
Ukiambiwa yote haya hayapo sasa inauma mno na English day pia
 
Yapo sana tu sema walimu nao wamekosa ubunifu siku hizi
 
Attachments

  • 1454153243447.jpg
    1454153243447.jpg
    100.8 KB · Views: 36
Back
Top Bottom