Hatimaye magufuri amesikia kilio cha wanafunzi juu ya mikopo yao.

kipusi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
431
225
kutokana na ucheleweshwaji wa mikopo ya elimu ya juu ktk vyuo mbalimbali nchini hatimaye magufuri wamewanyoshea kidole wahusika na kuwataka kushugulikia mara moja ili kuondokana na malalamiko kwa serikali.
 

Parasite

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
256
250
wadau wenzangu poleni na majukumu ya hapa na pale mimi ni mwanachuo nipo ARUSHA st......,nina tatizo nimepata mkopo ila boom la nne hatujapokea mpaka leo na tupo zaid ya 40,mwaka wa pili allocation imetoka tumo kwenye list but boom la kwanza na la pili tumekosa madai wanasema acc numb zetu hazipo bod ilihali kwenye majina yaliyokuja kutoka bodi yenye acc numb ni 19 kati ya majina 200,mwenye uwezo wakutusaidia tunaomba msaada tupo zaidi ya wanafunzi 90 tuliokosa boom la kwanza na la pili jumlisha na wale 40 wa boom la nne kwa mwaka wa kwanza jumla 130.
 

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
250
Bodi ya mikopo ni jipu katika taasisi zote za wizara ya elimu tokea nifungue chuo mpaka Leo sijapata mkopo wangu wakati ninao umeenda chuo kingine inaniuma sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom