Msaada

soul provider

JF-Expert Member
Jun 21, 2014
1,341
2,104
Habar ya wakati wanajukwaa,

Naomba kuuliza nichukue course gani degree ili nije kuwa auditor? Kwa kweli napenda kufanya kazi hii ila sijajua ni masomo gani haswa nisome ili nifikishe malengo yangu..

Msaada Tafadhali!
 
Back
Top Bottom