Ninaweza kusoma Degree kabla ya kumaliza Diploma

napenda

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
485
90
Niko nasoma diploma na nimemaliza semister ya kwanza, pia nilianzia cheti.

Naomba mnisaidie, lengo langu ni kugraduet BSC OF AGRIBUSINESS na mwaka juzi kunajamaa yangu aliacha dip akiwa semister ya pili akatumia matokeo hayo akaapply na akapata.

Naombeni ushauri niachane na dip niombe bsc au?
 
Niko nasoma diploma na nimemaliza semister ya kwanza, pia nilianzia cheti,
naomba mnisaidie, lengo langu ni kugraduet BSC OF AGRIBUSINESS na mwaka juzi kunajamaa yangu aliacha dip akiwa semister ya pili akatumia matokeo hayo akaapply na akapata, naombeni ushauri niachane na dip niombe bsc au,

duh aisee mbn km hueleweki na huelewi unataka nn
 
Sasa huoni kwamba ungemwomba huyo aliyepata ushauri ingekua vyema zaidi ??
 
Niko nasoma diploma na nimemaliza semister ya kwanza, pia nilianzia cheti.

Naomba mnisaidie, lengo langu ni kugraduet BSC OF AGRIBUSINESS na mwaka juzi kunajamaa yangu aliacha dip akiwa semister ya pili akatumia matokeo hayo akaapply na akapata.

Naombeni ushauri niachane na dip niombe bsc au?

Ndugu, hauwezi kutoka certificate moja kwa moja ukaenda kusoma digrii. Ninakusihi umalizie hiyo diploma (NTA LEVEL 6) halafu muda ukifika wa kuomba vyuo basi tumia transcript yako ya diploma (hata partial transcript ukiambatanisha na barua ya ama mkuu wa chuo chako au mtu wa taaluma hapo chuoni inakubalika endapo full transcript hazijatoka) omba chuo kupitia NACTE. Hiyo kozi inatolewa SUA na UDSM pia. Japokua sijaelewa unasoma diploma ya nini, ila Mungu akubariki katika masomo yako na kama ikiwezekana karibu sana darasani tusome agricultural economics and agribusiness pale Solomon Mahlangu SUA au agricultural and natural resources economics pale UDSM. (Mi mwenyewe nimemaliza diploma Mwaka jana na natarajia kusoma kozi kati ya hizo). Masomo mema mwana agribusiness mwenzangu.
 
Back
Top Bottom