Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,181
- 17,360
Kuna shemeji yenu mmoja anasoma chuo kimoja cha serikali hapa Zanzibar, anasema moja kati ya sheria za chuo ni kwamba mwanafunzi haruhusiwi kuonekana na past papers za aina yeyote ile na endapo ikitokea bas unapigwa disco.
Nimebaki najiuliza maswali mengi bila majibu.
Hawa waliotunga hii sheria lengo lao lilikuwa lipi hasa? Naomba kujua kama kuna chuo kingine chenye sheria za kipuuz kiasi hiki iwe Bara ama kokote kule.
Nimebaki najiuliza maswali mengi bila majibu.
Hawa waliotunga hii sheria lengo lao lilikuwa lipi hasa? Naomba kujua kama kuna chuo kingine chenye sheria za kipuuz kiasi hiki iwe Bara ama kokote kule.