Ada za Chuo Kikuu Hutia Tanzania

bab-D

JF-Expert Member
May 2, 2015
1,209
308
Nimegoogle na kupata hizi, je hizi ndo gharama pekee?

UNDERGRADUATE PROGRAMMES
1 Application
fees 30 USD
2. Fee per
examination 20USD
3. Quality assurance
fee (annually) 20 USD
3. Student
Organization fees 20 USD
4. Student Identity
card 20USD

au kuna fee nyingine, mwenye update anisaidie, pia admision iko mwezi gani? nataka kuchukua bachelor of community economic development
 
Kwanini usiende chuoni ukapata maelekezo ya kueleweka ukishindwa download prospectus yao.
 
Kwanini usiende chuoni ukapata maelekezo ya kueleweka ukishindwa download prospectus yao.
We unajua chuo kilipo? hawana chuo ila wana centers kila mkoa , prospectus haifunguki, ila nimepata namba za sim nazo hazipatikani, nitawatafuta baadae
 
Back
Top Bottom