Public Health in Kenya

Public Health in Kenya

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
22,696
Reaction score
43,882
Nahitaji kusoma bachelor of public health nchini kenya. Naomba ushauri katika mambo yafuatayo;

1. Vyuo vizuri vinavyotoa kozi hiyo.

2. Gharama na Jinsi ya kujiunga kwa Foreigner.

3. Mwaka wa kuanza masomo unanza lini.
 
Back
Top Bottom